Ruka hadi maudhui

Weka BMI Afya Kwanza kwenye simu

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka haraka, na kadi yako inafunguka hata bila mtandao.

Android (Chrome)

  1. Fungua ukurasa huu kwenye Chrome.
  2. Gusa ⋮ juu kulia.
  3. Chagua “Install app” au “Add to Home screen”.

iPhone (Safari)

  1. Fungua ukurasa huu kwenye Safari.
  2. Gusa kitufe cha Share (kisanduku chenye mshale).
  3. Chagua “Add to Home Screen”.

App ya BMI Afya Kwanza ya Play Store inakuja hivi karibuni. Ukiweka hii sasa, akaunti yako ni ile ile.

Fungua BMI Afya Kwanza