Jinsi ya kuingia
- Weka namba ya simu uliyotumia kujisajili.
- Mfumo unatengeneza code ya tarakimu 6 na kukutumia kwa SMS. Inafika ndani ya dakika 1 na inadumu dakika 10.
- Weka code hiyo. Utabaki umeingia kwa siku 30.
Code inatumwa tu baada ya malipo yako kuthibitishwa. Bado hujapata? Piga +255 769 467 777.