BodyMind Insights
Afya Kwanza
Kuwa Balozi wa Afya. Pima mapema, ishi vizuri.
Uanachama wa mwaka mmoja wa uchunguzi wa afya kwa waumini, watawa, wafanyakazi na familia.
Jinsi ya kujiunga
- Chagua kifurushiBasic, Silver, Gold au Premium.
- Jisajili na ulipeKwa simu: Lipa Namba ya Selcom au benki.
- Pata kadi na upimeNamba ya uanachama kwa SMS, kisha vipimo kliniki.
- Majibu na mpangoNdani ya siku 3 za kazi, kwenye simu yako.

Unachopata
Pima mapema
Vipimo vya maabara, muundo wa mwili na shinikizo la damu.
Pata majibu na mpango
Mtaalamu anapitia majibu yako na kukuandikia mpango wa afya.
Fuatiliwa mwaka mzima
Ushauri wa ufuatiliaji na vipindi 4 vya elimu ya afya.
Taarifa zako ni siri
Majibu yako yanaonekana kwako tu baada ya kuingia.
BodyMind Insights Consultation Clinic · Usajili Wizara ya Afya Na. 125773-2